Bidhaa iliyoondoka dukani iwe na location yake

Hamisha stock kwenda sokoni na uioanishe baada ya siku ya mauzo

Unda temporary location, transfer bidhaa zilizobebwa, rekodi supported mobile sales na urudishe quantity isiyouzwa kwenye main store.

Salelog haisimamii leseni, nafasi ya soko, M-Pesa/mobile money, fiscal receipt, route au delivery logistics.

Jaribu packing, network dhaifu na return transfer kabla ya siku yenye shughuli.

  1. Stock tofauti ya eneo la muda.

  2. Supported offline mobile records.

  3. Return transfer baada ya mauzo.

Packing ianze na transfer

List ya kukumbuka inaweza kutofautiana na boxes. Rekodi transfer wakati wa kupakia na ulinganishe critical items kabla ya kuondoka.

Record confirmed sale karibu na tukio

Foleni ikiongezeka, entry ya baadaye huwa rahisi kusahau. Offline status ionekane kama local mpaka server ithibitishe.

Funga siku kwa return movement

Hesabu kilichobaki, eleza tofauti na uhamishe quantity kwenye main location. Kufuta temporary stoo hakuleti reconciliation yenyewe.

Salelog

Kabla, wakati na baada ya soko

Kwa nini niunde location ya soko?

Inatenganisha bidhaa ulizobeba na stock iliyoachwa dukani, hivyo item haionekani available sehemu mbili.

Naweza ku-record bila network?

Supported mobile writes zinaweza kuhifadhiwa locally. Network ikirudi, kagua pending status, sync na final stock.

App inasaidia vibali vya machinga?

Hapana. Leseni, allocation ya trading space, kodi na payment obligations zishughulikiwe kupitia authorities na verified services husika.

Fanya dry run kabla ya soko

Hamisha items chache, rekodi test sale na urudishe stock iliyobaki.