Punguza pengo kati ya tukio na entry
Ukiandika quantity kwenye karatasi ili uingize jioni, baadhi ya movements zinaweza kupotea. Rekodi karibu na wakati bidhaa inapohama inapunguza kazi hiyo ya kukumbuka.
Jina na unit viwe rahisi kutambua
Majina mafupi yasiyoeleweka yanaongeza product selection errors. Tofautisha pack sizes na units kwa namna timu inayoitambua kwenye shelf.
Angalia status ya kusawazisha
Local save si sawa na server confirmation. Kabla ya kutegemea device nyingine, hakikisha pending changes zimefika server na hakuna conflict inayohitaji uamuzi.
