Usifanye kila shelf kuwa stoo
Location mpya iwe na sababu ya availability, responsibility au reporting. Salelog haitoi rack-level WMS, hivyo division nyingi zisizo na matumizi zinaongeza work.
Rekodi wakati wa kupakia
Ukiweka transfer jioni baada ya bidhaa kuondoka, ghala kuu linaweza kuonyesha stock ambayo haipo. Entry karibu na movement hupunguza pengo hilo.
Funga safari kwa transfer ya kurudi
Baada ya soko au service trip, hesabu kilichobaki na rudisha quantity kwa record sahihi. Kufuta temporary location si reconciliation.
