Bidhaa, deni na matumizi si entry moja

Tenganisha stock iliyoingia, malipo ya supplier na gharama za biashara

Rekodi purchase yenye bidhaa, quantity, bei na stoo ili stock iongezeke; kisha rekodi malipo ili salio la supplier lieleweke.

Weka matumizi yasiyoongeza bidhaa, kama usafiri au ada ya eneo, katika expense badala ya kuyachanganya na purchase.

Jaribu purchase iliyolipwa sehemu na expense moja isiyo ya stock.

  1. Purchase huongeza bidhaa kwenye stoo.

  2. Malipo yanaeleza salio la supplier.

  3. Expense haiongezi quantity ya bidhaa.

Chagua stoo inayopokea bidhaa

Purchase ya supplier inaweza kufika main store, branch au workshop. Location sahihi ni muhimu; company total pekee haiwezi kusema bidhaa iko wapi.

Usifiche matumizi ndani ya bei

Ada ya soko, mafuta au usafiri ni taarifa muhimu lakini si quantity mpya. Rekodi expense kwa maana yake badala ya kuongeza stock isiyokuwepo.

Linganisha salio na source entries

Supplier balance isipoeleweka, kagua purchases, cancellations na payments. Usibadilishe total kwa manual shortcut inayofuta historia ya kilichotokea.

Salelog

Tenganisha kila aina ya kutoka kwa pesa

Purchase na expense zinatofautianaje?

Purchase ina bidhaa na quantity inayoingia kwenye stoo. Expense inarekodi gharama ya biashara ambayo haiongezi stock ya product.

Naweza kurekodi malipo ya sehemu kwa supplier?

Ndiyo, kwa mtiririko unaoungwa mkono. Salio linategemea purchases na payments ulizorekodi, si statement ya benki au M-Pesa.

Je, app hutuma order kwa supplier?

Hapana. Purchase order, supplier portal, approval na automatic reorder hazijaahidiwa.

Rekodi mzunguko mmoja wa purchase

Ongeza bidhaa, lipa sehemu na kagua stock pamoja na salio la supplier.